Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha wakipitia moja ya vitabu vya watoto vilivyotungwa na mmoja wa wanawake wa Tanzania.
Meza kuu.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya 8020 Fashions ambao ndio waratibu wa Hafla ya Siku ya Wanawake,Shamim Mwasha akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni Rasmi kuja kutoa hotuba yake.Hafla hiyo imefanyika jioni ya leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee,jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi katika Hafla ya siku ya Wanawake,Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mama Asha Bilal akihutubia mamia ya kinamama waliohudhulia hafla hiyo.
Muwakilishi wa Tunaweza akipokea cheti kama mmoja wa Wadhamini waliofanikisha hafla hiyo.
Muwakilishi wa Kampuni ya bidhaa za Urembo ya Tressa.







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni