Rais Barack Obama wa Marekani amekuwa na mazungumzo ya moja kwa moja kwa muda wa saa moja na Rais wa Urusi, Vladmir Putin huku akisisitiza diplomasia zaidi itumike katika kumaliza mgogoro mkubwa ulioikumba Ukraine .
Katika mazungumzo hayo, Rais Putin alimsihi Obama kuwa mgogoro huo usiharibu uhusiano wa nchi hizo mbili
Rais wa Urusi, Vladmir Putin


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni