Alhamisi, 13 Machi 2014

MWANAMITINDO NAOMI CAMPBELL ATAKA KUZAA MTOTO HATA KAMA HATAKUWA NA MWANAUME

Mwanamtindo mkongwe Naomi Campbell amebainisha kuwa amedhamiria kupata mtoto, bila ya kujali ana mwanaume ama hana mwanaume wa kudumu.
Modo huyo mwenye umri wa miaka 43, aliyetengana na rafiki yake wa kiume wa muda mrefu Vladimir Doronin mwaka jana, sasa anahitaji mtoto na amesisitiza kuwa haitaji mwanaume wa kuishi nae ili kumlea mtoto atakae zaa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni