Ijumaa, 14 Machi 2014

MWANASIASA MKONGWE WA CHAMA CHA LABOUR TONY BENN AFARIKI DUNIA


Mwanasiasa mkongwe wa chama cha Labour cha nchini Uingereza Tony Benn amefariki nyumbani kwake hii leo akiwa na umri wa miaka 88.
Mwanasiasa huyo ambaye pia aliwahi kuwa waziri amefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake Magharibi mwa London akizungukwa na wanafamilia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni