Jumapili, 9 Machi 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE ATUA MJINI DODOMA LEO

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma. (Picha zote na PMO.)
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni