Alhamisi, 13 Machi 2014

TFDA YATEKETEZA VIPODOZI VILIVYOPIGWA MARUFUKUVYENYE THAMANIYA SH 188M




Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Bi. Gaudensia Simwanza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka hiyo. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO) Frank Mvungi.
Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Gaudensia Simwanza, akionesha moja ya vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka hiyo kinachotumiwa na wanawake kukuza makalio.

Baadhi ya vipodozi vilivyopigwa marufuku na Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA)  alivyokuja kuvionyesha kwa waandishi wa habari.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni