Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Bi. Gaudensia Simwanza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu vipodozi
vilivyopigwa marufuku na mamlaka hiyo. Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari (MAELEZO)
Frank Mvungi.
Afisa Uhusiano wa Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA),
Gaudensia Simwanza, akionesha moja ya vipodozi vilivyopigwa marufuku na mamlaka
hiyo kinachotumiwa na wanawake kukuza makalio.Baadhi ya vipodozi vilivyopigwa marufuku na Mamalaka ya Chakula na Dawa (TFDA) alivyokuja kuvionyesha kwa waandishi wa habari.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni