TOTTENHAM YACHAPWA 3-1 NA BENFICA LIGI YA EUROPA
Michuano ya ligi ya Europa imeendelea usiku wa kumakia leo kwa kushuhudia timu ya soka ya Tottenham ikicheza nyumbani katika uwanja wake wa White Hart Lane ikikubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Benfica iliyosafiri kutoka Ureno.Tottenham ilikubali kipigo hicho mbele ya mashabiki 35,000 waliofika kuangalia kiwango cha timu yao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni