Ijumaa, 7 Machi 2014

WANAUME WANNE WACHAPWA VIBOKO 20 KWA VITENDO VYA USHOGA NIGERIA


Wanaume wanne wamechapwa viboko 20 kila mmoja baada ya Mahakama ya Kiislam kwenye Mji wa Kaskazini wa Bauchi kuwatia hatiani kwa vitendo vya ushoga.
Wanaharakati wa haki za binadamu wamesema wanaume hoa wamelazimika kukiri kosa hilo baada ya kushinikizwa kwa kipigo wakati wakiwa kizuizini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni