Ijumaa, 7 Machi 2014
MAKAMPUNI YA NIKE NA ADIDAS YACHUANA KUSAKA SOKO KOMBE LA DUNIA
Mchuano mkali wa kibiashara umeibuka baina ya makambuni mawili makubwa ya vifa vya michezo ya Nike na Adidas.
Makampuni hayo yanachuana kupata soko wakati wa kombe la dunia kwa kutengeneza viatu vya kuchezea mpira vilivyounganishwa na soksi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
‹
›
Nyumbani
Ona toleo la wavuti
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni