Kapteni wa Meli ya Queen Mary 2 ambayo ni meli kubwa zaidi duniani ameamua kupiga picha ya kumbukumbu na meli hiyo ambayo amejikuta akionekana kama mbilikimo.
Kapteni huyo Kevin Oprey alisimama juu ya sehemu ya chini ya meli hiyo iliyotokeza kwa mbele ya meli hiyo yenye uzito wa tani 151,200. Picha hii ni sehemu ya kumbukumbu ya meli hiyo kutimiza miaka kumi mwezi Mei mwaka huu.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni