Jumatatu, 10 Machi 2014

WILDAF YAENDESHA MKUTANO KWA WADAU WAKE WA KUPIGA VITA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NCHINI

Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC),Wakili Harold Sungusia akitoa mada kwenye Warsha ya siku moja ya kuadhimisha ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoratibiwa na Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo (WiLDAF),katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Help Foundation,Magreth Maina kutoka jamii ya Wafugaji akiwasilisha mada yake kwenye warsha hiyo.
Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jinsia katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Judith Kizenga akizungumza wakati wa kufungua warsha ya siku moja ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani,Iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni