Alhamisi, 28 Mei 2015

JESHI LA NIGERIA LIMEWAFUKUZA KAZI WANAJESHI WAPATAO 200 AMBAO NI WAOGA

Jeshi la Nigeria limewafukuza kazi wanajeshi wapatao 200 ambao ni waoga na ambao wameshindwa kupambana na kundi la Boko Haram.

Baadhi ya wanajeshi wameliambia shirika la habari la BBC, kuwa wanajeshi wenye vyeo 4,500 na huenda wakafukuzwa kazi.

Vyanzo vya jeshi la Nigeria vimethibitisha kufukuzwa wanajeshi hao, lakini havikutoa idadi yao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni