Alhamisi, 28 Mei 2015

JIMBO LA MAREKANI NEBRASKA LIMEFUTA ADHABU YA KIFO BAADA YA WABUNGE KUPIGA KURA

Jimbo la Marekani Nebraska limefuta adhabu ya kifo baada ya wabunge kupiga kura ya turufu kupitisha sheria ya kuondoa adhabu hiyo.

Uamuzi huo umeoungwa mkono na muungano chama cha mrengo wa kulia ambao wanapinga adhabu ya kifo kama njia ya adhabu.

Jimbo la Nebraska linaungana na majimbo 18 pamoja na serikali za wilaya ya Washington DC, katika kupiga marufuku adhabu ya kifo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni