ARJEN ROBBEN AMTAKA KOCHA WA ARSENAL ARSENE WENGER KUWA MSTAARABU
Nyota wa Bayern Munich, Arjen Robben amemuambia kocha wa Arsenal Arsene Wenger anapaswa kujiheshimu, kufuatia kueleza kuwa mchezaji huyo ni bingwa wa kujirusha.
Nyota huyo wa Kimataifa wa Uholanzi amejibu mapigo ya kauli ya Kocha Wenger kufuatia kauli yake aliyoitoa katika mchezo wa Klabu Bingwa Ulaya ulioishia kwa sare ya bao 1-1 jana usiku. Na Bayern kuibuka na ushindi wa matokeo ya jumla ya mbao 3-1.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni