Alhamisi, 13 Machi 2014

BENKI YA NBC YAZINDUA NBC DIRECT

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia) akibonyeza kitufe cha kampyuta kama ishara ya kuzindua rasmi  bidhaa  mpya kwa wateja wao ya NBC Direct,  jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni maofisa wa beni hiyo wa pili kushoto ni, Sarah Laiser-Sumaye, Mary Kapeja, Andrew Massawe na, Mussa Jallow
Mkuu wa Hduma Rejareja za Kibenki, Mussa Jallow akizungumza na wateja na waalikwa wengine katika uzinduzi huo akieleza faida mbalimbali zinazopatikana katika bidhaa ya NBC Direct
Baadhi ya maofisa wa NBC na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi hnuo jijini Dar es Salaam jana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni