CRDB TAWI LA LUMUMBA LASHIRIKI VYEMA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Deputy MD wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay mwenye suti, katika picha ya pamoja wafanyakazi na wateja wa benki ya CRDB, Tawi la Lumumba, Mkurugenzi huyo alipotembelea tawi hilo leo asubuhi
Wateja Walifurahije?. Ilikuwa ni mwendo wa vinyaji baridi
Mkurungenzi wa CRDB Bank, Tawi la Lumumba, John Almasi, akishiriki zoezi la usafi katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kuadhimisha Siku ya wanawake Duniani
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni