.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 11 Machi 2014

KAMATI ZA TROIKA ZA MABALOZI WA AFRIKA, KARIBIANI, PACIFIC NA JUMUIYA YA ULAYA ZAKUTANA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Kamati ya Mabalozi wa Afrika, Karibiani na Pacific (ACP) Dr. Diodorus Buberwa Kamala ( mwenye tai yenye rangi za bendera ya taifa) akiwa katika picha ya pamoja na  Wajumbe wa   kamati za Troika za Mabalozi wa ACP na Jumuiya ya Ulaya. 

Kamati hizo zimekutana leo Brussels kuweka mikakati ya pamoja ya kuimarisha ushirikiano wa ACP na Jumuiya ya Ulaya. Kulia kwa Balozi Kamala, ni Balozi Mhe. Dimitrious Touloupas Mwenyekiti wa Mabalozi wa Jumuiya ya Ulaya na Mwakilishi wa Ugiriki  katika Kamati ya Siasa na Usalama ya Jumuiya ya Ulaya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni