Baadhi ya wanakijiji cha Mibitimitali wakishangilia jambo katika mkutano huo wa kampeni
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) wilaya ya Mufindi, Ndugu Miraji Mtaturu akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama hicho, Ndugu Godfrey Mgimwa mapema leo jioni mbele ya wanakijiji cha Mfukulembe ( hawapo pichani ) kata ya Ifunda, Iringa vijijini
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni