Ijumaa, 14 Machi 2014

MAHAKAMA KUU KENYA YALEGEZA AMRI YA KUZUIA MABASI KUSAFIRI USIKU

 
Mahakam hiyo imempa Waziri wa Usafiri na mamlaka nyingine za serikali siku 60 kuandaa sheria sahihi kuhusiana na suala hilo.

Vile vile Jaji George Odunga ameeleza kuwa kuzuia magari ya masafa marefu kutembea usiku kunaingilia haki ya wananchi wa Kenya ya uhuru wa kwenda wanapotaka ndani ya nchi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni