Mahakam hiyo imempa Waziri wa Usafiri na mamlaka nyingine za
serikali siku 60 kuandaa sheria sahihi kuhusiana na suala hilo.
Vile vile Jaji George Odunga ameeleza kuwa kuzuia magari ya masafa
marefu kutembea usiku kunaingilia haki ya wananchi wa Kenya ya uhuru
wa kwenda wanapotaka ndani ya nchi.
.jpg)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni