.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 14 Machi 2014

MATUKIO YA DKT.JAKAYA KIKWETE KATIKA PICHA HII LEO

do1 
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea kwa furaha na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe John Sitta, Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan Katibu wake Mhe yahaya Khamis Hamad  na naibu katibu Dkt Thomas Kashilia  na Mawaziri Mhe John Lukuwi na Mhe Aboud baada ya zoezi la kuwaapisha Katibu na Naibu Katibu wa Bunge Maalum lililofanyika Ikulu ndogo mjini Dodoma leo Machi 14, 2014.
rais1  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo wa Nigeria, Festus Mogae wa  Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na (walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais Mstaafu wa Cape Verde, Thabo Mbeki wa Afrika Kusini, Mhe Joachim Chisano wa Msumbiji na Rais wa Benki ya Afrika Dkt Donald Kaberuka.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni