
Mahakama ya Kazi Kenya imeonya kuwa wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma kutojihusisha na mgomo unaoendelea kwa kuwa kufanya hivyo ni kosa na wataadhibiwa.
Jaji Monica Mbaru amesema mgomo wa wahadhiri na watumishi wa vyuo ni kinyume na sheria kutokana na mahakama kutoa amri ya kuuzuia mgomo huo jana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni