Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaini kitabu cha maombolezo ya msiba wa Lefoord Simba, mtoto wa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba, wakati
alipofika nyumbani kwa Waziri Masaki jijini Dar es Salaam, leo kutoa
pole. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimfariji Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia
Simba, wakati alipofika nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam, leo
kutoa pole kwa kufiwa na mtoto wake, Lefoord Simba. Mazishi yatafanyika
kesho kwenye Makaburi ya Kinondoni. Picha na OMR
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni