Jumamosi, 8 Machi 2014

MPENZI WA ZAMANI WA PISTORIUS AELEZEA JINSI ASIVYOWEZA KUDHIBITI HASIRA ZAKE

Mpenzi wa zamani wa Oscar Pistorius ameiambia mahakama kuwa mwanariadha huyo mlemavu aliwahi kufyatua risasi kwenye paa la gari lake baada ya kuudhiwa na polisi aliyemsimamisha barabarani.

Mpenzi huyo wa zamani wa Pistorius, aitwae Samatha Taylor aliangua kilio pale alipoanza kuelezea kilichopelekea watengane na mwanariadha huyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni