Mpenzi wa zamani
wa Oscar Pistorius ameiambia mahakama kuwa mwanariadha huyo mlemavu
aliwahi kufyatua risasi kwenye paa la gari lake baada ya kuudhiwa na
polisi aliyemsimamisha barabarani.
Mpenzi huyo wa
zamani wa Pistorius, aitwae Samatha Taylor aliangua kilio pale
alipoanza kuelezea kilichopelekea watengane na mwanariadha huyo.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni