Rais wa Urusi Vladmir Putin akipunga mkono wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Olimpiki ya Walemavu "Paralympic" ya majira ya baridi mjini Sochi nchini Urusi hapo jana
Mshiriki toka Ukraine akipita mbele wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo ambayo yamekosa msisismko mkubwa kutokana na mataifa mbalimbali hasa ya Ulaya kujitoa ikiwemo Marekani ambayo iliiondoa timu yake kushiriki mashindano hayo baada ya Urusi kupeleka majeshi yake Crimea nchini Ukraine na kugoma kuyaondoa mpaka sasa kufuatia machafuko yanayoendelea katika nchi hiyo na kumlazimisha aliyekuwa Rais wake Victor Yanukovych kukimbilia Urusi
Shamra shamra za ufunguzi wa mashindano hayo hapo jana mjini Sochi
Timu ya Brazil ikipita mbele kwa maandamano wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo
Sherehe za ufunguzi
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni