Hata hivyo baadae taarifa mpya zilidai kuwa abiria hao wawili walikuwa raia wa Iran, waliokuwa wanadai kukimbia ukandamizaji wa raia unaofanywa na serikali yao.
Taarifa hiyo zinaonekana kulingana na tangazo lililotolewa na maafisa wa Thailand kuwa mfanyabiashara wa Iran Kazem Ali alifanya manunuzi ya tiketi za abiria hao wawili.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni