Afisa
Uhusiano wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu (kushoto)
akizungumza na mmoja wa wanakikundi cha Tumaini Kijiji cha Lemguru,Kata
ya Kisongo wilaya ya Arumeru,Elizabeth Daniel ambaye ameanzisha ufugaji
baada kupata mafunzo kutoka asasi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa
iliyopewa fedha kiasi cha dola za Marekani 64,000.
Afisa
Miradi wa asasi isiyo ya kiserikali ya Ace Africa,Baraka
Mshana(katikati) akiwapa maelezo ya umuhimu wa matumizi ya majiko banifu
kwaajili ya kulinda mazingira,Meneja Mauzo wa kampuni ya Bia Kanda ya
Kaskazini,Wilderson Kitio(kushoto)na Afisa Uhusiano wa TBL,Doris Malulu
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni