Timu ya soka ya Wigan jana ilipigana kiume uwanjani na kuifunga Manchester City mabao 2-1 katika mchezo mkali nawa kusisimua wa kuwania kombe la FA.
Kwa matokeo hayo Wigan sasa itakutana na Arsenal katika hatua ya nusu fainali ya kombe hilo katika uwanja wa Wembley. Mabao ya Wigan yaliwekwa kimiani na Gomez dakika ya 27 kwa mkwaju wa penati na Perch kunako dakika ya 47
Nasri akiokota mpira ndani ya goli la Wigan baada ya kufunga bao lake la kufutia machozi dakika ya 68
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni