WINDHOEK BIA YAJITOKEZA KUDHAMINI SHEREHE ZA BONGO MOVIE
Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Steve Nyerere akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu sherehe za miaka 3 ya klabu hiyozitakazofanyika March 28 mwaka huu. Katikati ni meneja masoko wa bia ya Windhoekm, Calvin Costa na mhasibu wa Bongo Movie Issa Mussa " Cloud "
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni