.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 25 Mei 2014

BALOZI KAMALA AKUTANA NA GAVANA WA HAINAUT UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza katika tafrija iliyoandaliwa na Gavana wa Hainaut Mhe. Tommy Leclercq kuwashukuru wadau wa reli na bandari kutoka Tanzania kwa kutembelea Ubelgiji. Mhe. Leclercq amen aids kushiriki ziara ya Wawekezaji na Wafanyabiashara wa Ubelgiji watakaotembelea Tanzania mwaka huu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni