.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 25 Mei 2014

KENNEDY NDOSI KATIBU WA CCM TAWI LA CHUO CHA DIPLOMASIA, AMWAGA MPINZANI WAKE SEVERINE KAPINGA KWA KURA 8 KWA 3

 Katibu wa CCM tawi la Chuo Cha Kimataifa Cha Diplomasia, Kennedy Ndosi ( katikati ) akiwa na aliyekuwa mpinzani wake katika uchaguzi huo Severine Kapinga, kulia. Katika uchaguzi huo ulioshuhudia Dk. Kyaruzi akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CCM chuoni hapo, Ndosi alipata kura 8 na mpinzani wake huyo alipata kura 3 kati ya kura 11 zilizopigwa.
 Katibu wa CCM, tawi la Chuo Cha Kimataifa cha Diplomasia, Kennedy Ndosi ( wa sita toka kulia ) akiwaa katika picha ya pamoja na baadhi ya waliosimamia kampeni wakati wa uchaguzi akiwemo Chrispine Pinda, Kanal Rankho, Bonnah Kalua, Mchungaji Isaya, Athuman Kikwete, Ustaadh Balua Mwakilanga, William Sarakikya na Ali Makwiro

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni