.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 21 Mei 2014

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA BANDARI YA ZANZIBAR ILIYOPO MALINDI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Muhamed Shein akifuatana na viongozi wa Wizara ya Miundo mbinu na Mawasiliano wakiingia lango kuu la Bandari ya Zanzibar iliyop Mlindi alipotembelea bandari hiyo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Muhamed Shein akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Mali Asili Affan Othman Maalim (alievaa suti bluu na kofia) baada ya kutembelea ghala lililokuwa likitumika kuhifadhia pembejeo za kilimo alipotembelea bandari hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Muhamed Shein akifuatana na viongozi wa Shirika la Bandari Zanzibar kuangalia utendaji wa kazi katika bandari hiyo ambayo hivi sasa meli kubwa ya makontena zinafunga gati na kushusha mizigo kwa wepesi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni