RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAHADHIRI KUTOKA CHUO KIKUU CHA CAIRO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,unaoongozwa na Prof. Ibrahim Elsayed Gaber, (wa pili kulia) ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiagana na Prof.Ibrahim Elsayed Gaber,Kiongozi wa Ujumbe wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Cairo,ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya mazungumzo .[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni