Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village
Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode wakati akirusha vocal kaliiiii kwa hisia ndani ya kiwanja cha Thai Village
Mashabiki na wapenzi wa Skylight Band wakijimwaga kwa raha zao ndani ya kiota cha Thai Village
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni