Bonite Bottlers wamwaga zawadi za luninga na fedha taslimu, ni katika Shindano la Jionee Mwenyewe Fainali za Kombe la Dunia Brazil 2014, wengine wajishindia tiketi za kwenda kushuhudia fainali hizo zitakazoanza June 12' 2014 nchini Brazil.
Mmmh!! bonge la zawadi nimepata. Mmoja wa washindi akiangalia luninga yake.
Washindi wakiwa na Luninga zao baada ya kushinda katika shindano la Jionee Mwenyewe Kombe la Dunia lililoendeshwa na Bonite.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni