.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 7 Oktoba 2014

MUUGUZI WA KIKE NCHINI HISPANIA APATA MAAMBUKIZI YA EBOLA BAADA YA KUWAHUDIMIA WAGONJWA WAWILI

Muuguzi wa kike raia wa Hispania mwenye umri wa 44 ambaye hakutajwa jina lake ameambukizwa virusi vya ugonjwa wa Ebola. 

Muuguzi huyo ambaye ameifanya kazi hiyo ya uuguzi kwa miaka 15 sasa katika hospitali ya Madrid's Carlos III, anaripotiwa kupata maambukizi hayo baada ya kuwahudumia wagonjwa wawili wa Ebola ambao ni wamishionari raia wa Hispania ambao baadaye walifariki dunia. 

Muuguzi huyo ambaye ameolewa, alikuwa mmoja wa wa kundi lililomuhudumia Manuel Garcia Viejo ambaye alirejeshwa nchini Hispania akitokea Afrika Magharibi kwa matibabu baada ya kupata maambukizi hayo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni