Mwanaharakati mdogo wa Elimu wa Pakistan, Malala Yousafzai pamoja na mwanaharakati wa India Kailash Satyarthi wameshinda tuzo ya Nobel.
Malala mwenye umri wa miaka 17, anakuwa kijana wa kwanza kupata tuzo hiyo katika umri mdogo.
Malala alipigwa risasi kichwani na Wataliban Oktoba mwaka 2012, kutokana na kupiga kampeni ya watoto wa kike kuruhusiwa kwenda shule.
Kamati ya Nobel imesema wawili hao wamepewa tuzo hiyo kwa jitihada zao za kupambana na ukandamizaji wa watoto na vijana.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni