Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa MarehemuMeja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi Jumamosi Oktoka 11, 2014.
Maafisa waandamizi wa Jeshi la Wananchi la Tanzania wakiwawamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario wakiwasili katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2014.
Rais kikwete akiwa na Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya (kushotokwa Rais) na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt Ibrahim Msengi (kulia) na Meja Jenerali Ezekiel Kyunga, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia kwa Rais) wakati mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario ukiwasili katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2014.
Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo nyumbanikwa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario mjini Moshi
Jumamosi Oktoka 11, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi laMeja Jenerali Mstaafu Muhiddin Mfaume Kimario wakati wa mazishi katika makaburi ya Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Jumamosi Oktoba 11, 2014. PICHA NA IKULU
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni