.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 8 Oktoba 2014

RAIS UHURU KENYATTA AWASILI NCHINI UHOLANZI, LEO KUFIKA MBELE YA MAHAKAMA YA ICC

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amewasili mjini Amsterdam Uholanzi tayari kufika katika mahakama ya kimataifa ya Uhalifu ( ICC ) hii leo jumatano kusikiliza mashitaka yanayomkabili. 

Rais Kenyatta ameongozana na mkewe pamoja na mfasafara wa watu wasiopungua 100 ambao wamemsindikiza. Huyu ni Rais wa kwanza kuwa madarakani kufika katika mahakama hii toka ianzishwe. 

Rais Kenyatta anakabiliwa na mashitaka ya uchochezi baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007 nchini Kenya ambapo zaidi ya watu 1,200 walipoteza maisha yao na wengine kulazimika kukimbia makazi yao.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni