.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 13 Oktoba 2014

TAIFA STARS YAICHAKAZA BENIN UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM


Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij (kulia) akisalimiana na kocha wa Benin Didier Olle Nicolle wakati kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Francis Dande)

Kikosi cha Taifa Stars kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya pambano lao na Benin.


                                                      Mrisho Ngasa akiwatoka wachezaji wa Benin.

Mshambuliaji wa timu ya Soka ya Tanzania, Taifa Stars,Mrisho Ngasa (kulia) akichuana na beki wa Benin, Adeoti Jordan katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwsenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Stars ilishinda 4-1.

Beki wa Stars, Shomari Kapombe akimtoka mchezaji wa Benin, Djigla David.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni