.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 13 Oktoba 2014

WANAJESHI UINGEREZA WAINGIA HOSPITALI KUHUDUMIA WAGONJWA BAADA YA MGOMO

Wanajeshi nchini Uingereza leo wamelazimika kuchukua majukumu ya Watumishi wa Hudumu za Afya za Taifa (NHS), baada ya wahudumu hao 400,000 kuanza mgomo wao kuwahi kufanyika tangu miaka 30 iliyopita.

Hata hivyo imebainika kuwa ni idadi chache ya watumishi, wanaounda umoja wao, ambao waliidhinisha mgomo huo unaohusu mgogoro wa malipo yao, na kuingia katika mgomo huo ambao mara ya mwisho kutokea ilikuwa mwaka 1982.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni