Equatoria Guinea imetinga hatua ya robo fainali baada kumaliza michezo yake ikiwa imeshika nafasi ya pili katika kundi A kwa kufikisha jumla ya pointi 5 nyuma ya Congo iliyomaliza ikiwa na pointi 7. Mabao hayo yalifungwwa na Javier Balboa kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 55 na Edú akifunga bao la pili katika dakika ya 86.
Mashabiki wa timu ya soka ya taifa ya Equatorial Guinea
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni