Alikuwa ni mchezaji Max Gradel aliyewafungia tembo hao bao hilo muhimu katika dakika ya 35 ya kipindi cha kwanza, bao ambalo lilidumu hadi mpira unamalizika.
Huo ulikuwa ni mchezo wa kundi D wa kukamilisha ratiba, katika fainali zinazoendelea kuunguruma nchini Equatorial Guinea.
Mchezaji Max Gradel akiivuta jezi yake kwa furaha baada ya kufunga bao lililoivusha Ivory Coast hadi hatua ya robo fainali.
Wachezaji wa Ivory Coast wakiwa na furaha mara baada ya kumalizika kwa mchezo baina yao na Cameroon, ambapo walishinda bao 1-0
Mchezaji Max Gradel akiivuta jezi yake kwa furaha baada ya kufunga bao lililoivusha Ivory Coast hadi hatua ya robo fainali.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni