Katika kinyang'anyiro hicho kilichofanyika mjini Zurich, Uswisi, Ronaldo alikuwa anachuana na Messi pamoja na mlinda mlango mahiri wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Bayern Munich, Manuel Neuer.
Ronaldo akiiangalia tuzo yake baada ya kukabidhiwa na mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry.

Wolfsburg's German midfielde Nadine Kessler ( katikati ) akizungumza machache baada ya kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa kike kwa mwaka 2014 wa FIFA.
Rais wa Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA, Sepp Blatter akizungumza wakati wa utoaji wa tuzo hizo mjini Zurich.
Wolfsburg's German midfielde Nadine Kessler ( katikati ) akizungumza machache baada ya kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa kike kwa mwaka 2014 wa FIFA.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni