Ijumaa, 16 Januari 2015
BOHARI KUU YA DAWA ZANZIBAR YAKABIDHIWA MSAADA WA PIKIPIKI KUMI NA USAID
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima Maulid Salum na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly Hamblin wakisaini makabidhiano ya pikipiki 10 kwa ajili ya ufuatiliaji uwepo wa dawa katika vituoni vya afya Wilaya. Hafla hiyo imefanyaka Bohari Kuu la Dawa Maruhubi Mjini Zanzibar
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Halima na Mshauri Muandamizi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) Bi. Kelly wakibadilishana hati ya makabidhiano.
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akikabidhiwa funguo ya pikipiki na Bi. Kelly Hamblin (kusho) Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Bi. Halima Maulid.
Baadhi ya Pikipiki 10 zilizokabidhiwa. Wizara ya Afya Zanzibar na kutoka Shirika la Misaada la Marekani (USAID)kwa kurahisisha shughuli za utendaji wa Wizara hiyo na Idara zake.(Picha na Makame Mshenga
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni