Tottenham imesonga mbele kwa faida ya kuwa na goli 1-0 katika mchezo wa awali, hivyo kusonga mbele kwa idadi ya mabao 3-2.
Magoli ya wenyeji Sheffield yalifungwa na mchezaji Adams katika dakika za 77 na79 huku mabaoa ya Tottenham yakifungwa Christian Eriksen katika dakika za 28 na 88.
Magoli ya wenyeji Sheffield yalifungwa na mchezaji Adams katika dakika za 77 na79 huku mabaoa ya Tottenham yakifungwa Christian Eriksen katika dakika za 28 na 88.
Tottenham sasa itakutana na Chelsea katika mchezo wa fainali utakaochezwa katika uwanja wa Wembley, Mach 01'2015.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni