Bao safi la kichwa toka kwa Branislav Ivanovic katika dakika 94 lilitosha kuwavusha Chelsea kuelekea Wembley ambako ndiko mchezo wa fainali utachezwa.
Wachezaji wa Chelsea, kutoka kushoto Eden Hazard, Oscar na Branislav Ivanovic wakiwa na bendera yenye kuonyesha sasa wanaelekea Wembley, uwanja ambao utatumika kwa ajili ya mchezo wa fainali wa kombe la Capital One

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni