.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Januari 2015

CHANJO YA EBOLA IPO NJIANI KUFIKISHWA LIBERIA KWA MAJARIBIO

Shehena ya kwanza ya chanjo ya majaribio dhidi ya ugonjwa hatari wa Ebola, inaelekea nchini Liberia.

Shehena hiyo inakuwa ni jitihada za kwanza za kinga ya Ebola kufikia nchi hiyo ambayo ni miongoni mwa zilizoathiriwa mno na ugonjwa huo.

Hata hivyo wataalam wamesema, wakati matukio ya wagonjwa wa Ebola yakishuka itakuwa ni vigumu kubani iwapo chanjo hiyo inauwezo wa kudhibiti virusi vya Ebola.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni